Rasimu ya mpango kazi wa kuendesha shughuli za serikali kwa uwazi tanzania
Tanzania has prepared a draft Country Plan which has been submitted to the OGP Secretariat. (The Kiswahili version will be posted here soon.) Consistent with the principles of open government, Tanzania invites the public and interested parties to submit concrete ideas and inputs for strengthening the Plan. Please read attached documents for more information on how to submit your ideas
Tanzania imeridhia kujiunga na Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (Open Government Partnership - OGP). Mpango huu ni juhudi za kimataifa katika kuhimiza uendeshaji wa Serikali kwa uwazi zaidi, ushirikishwaji mkubwa wa wananchi, kudhibiti rushwa katika jamii na kuimarisha utoaji wa huduma bora. Kwa maelezo zaidi tafadhali soma kiambatanishi
This workshop is among the initial steps used by the Tanzania government to establish a meaningful and rich consultation processes. The challenge is to ensure broad-based and effective citizen involvement in defining a substantive and ambitious set of commitments.







